Usafiri Kiganjani

Kata tiketi yako sasa na MySafari

Karibu MySafari

MySafari ni mfumo rahisi na rafiki wa kukata tiketi yako ya usafiri kwa kutumia simu janja, tovuti, app, USSD (simu ya analogia) na kupitia mawakala wa usafirishaji.


Ni rahisi na salama kukata tiketi yako mahali popote ulipo ukiwa na MySafari.

Tembea Tanzania

Tutakusaidia kutembelea sehemu yoyote ambayo unaweza kufikiria

Tuzo na Zawadiwa

Pata zaidi kutoka kwenye huduma zetu. Tumia kidogo na usafiri zaidi

Bei Nafuu

Bei ni nafuu na uhakika, epuka kutapelewa na vishoka

27/7 Msaada

Wasiliana nasi wakati wowote, mahali popote. Tutatatua tatizo lako

safari yako

Simamia safari zako kwa kutumia menejimenti yetu ya kitaalamu

Maeneo Maarufu

Maeneo yaliyotafutwa zaidi

Pakua App yetu

Kata tiketi kwa haraka, salama na urahisi popote ulipo, pata ofa,taarifa muhuimu kuhusu safari.

Image Alternative text